Imeandikwa na: Saad Ally Nassor | Imeupdate: Julai 26, 2026
Unatafuta simu nzuri lakini bajeti yako ni chini ya Tsh 300,000? Usijali. Mwaka 2026 kuna simu nyingi sana zenye uwezo mkubwa kwa bei ndogo. Tumezichagua 10 bora zaidi sokoni Tanzania hivi sasa.
Battery: 5000mAh | Camera: 50MP | RAM: 6GB | Kwa nini: Battery inakaa siku 2 nzima
Battery: 5000mAh | Camera: 50MP | RAM: 4GB | Kwa nini: Screen ya AMOLED na Update za miaka 4
Battery: 5000mAh | Camera: 50MP | RAM: 8GB | Kwa nini: RAM kubwa kwa bei ndogo
Battery: 5000mAh | Camera: 50MP | RAM: 8GB | Kwa nini: Camera ya selfie nzuri sana
Battery: 5000mAh | Camera: 64MP | RAM: 6GB | Kwa nini: Charging ya haraka 33W
...na nyingine 5 ndani ya makala kamili kwenye blog
Kwa Tsh 300,000 unaweza kupata simu nzuri sana 2026. Kama unataka camera chagua Realme C55. Kama unataka battery chagua Redmi 13C. Kama unataka jina la Samsung chagua Galaxy A15.
Una swali kuhusu simu yoyote? Niulize kwenye WhatsApp hapo chini 👇