Moto Moto ๐Ÿ”ฅ AI yasababisha mapinduzi makubwa kwenye soko la ajira mtandaoni Tanzania mwaka 2026. Soma jinsi ya kuanza leo!

Menu Kuu

Nyumbani Makala & AI Crypto & Pesa Kuhusu Sisi
Hali ya Mwanga
AI Tanzania 2026
AKILI UNDE ยท 2026 UPDATE

Jinsi ya Kutumia AI na Kupata Pesa Tanzania: Mwongozo Kamili wa Kuanzia Sifuri

Gundua zana 15 bora za bure za AI zinazoweza kubadilisha maisha yako ya kifedha kupitia uandishi, utengenezaji wa picha, na freelancing hata kama ndio kwanza unaanza.

Soma Makala Kamili โ†’

Makala Maarufu & Mafunzo

Mbinu za Vitendo kwa Kiswahili
AI Zana
AKILI UNDE

Zana 15 za AI Zitakazorahisisha Kazi Zako za Kila Siku

Jifunze kutumia akili unde kuandika barua pepe, kutafsiri lugha, na kufanya kazi za ofisi kwa sekunde chache.

Soma Zaidi
Crypto Tanzania
CRYPTO & BLOCKCHAIN

Mwongozo Salama wa Kuwekeza Kwenye Cryptocurrency Tanzania

Epuka matapeli wa mtandaoni. Jifunze misingi ya blockchain na njia sahihi za kutumia pesa zako kwenye soko la crypto.

Soma Zaidi
TikTok Money
PESA MTANDAONI

Siri za Kutengeneza Kipato Kupitia Mitandao ya Kijamii

Angalia jinsi vijana wa Kitanzania wanavyotumia kurasa zao za kijamii kujipatia riziki kupitia matangazo na ushawishi.

Soma Zaidi
Freelancing
FREELANCING

Anza Freelancing: Pata $500 Kwa Mwezi Kupitia Mtandao

Ujuzi unaohitajika zaidi duniani kote na jinsi ya kuanza kujiuza kwenye majukwaa kama Fiverr na Upwork ukiwa nyumbani.

Soma Zaidi
AI Tools
ZANA ZA KISASA

Zana 20+ za AI Bure Zinazokupa Uwezo wa Kazi Kubwa

Orodha kamili ya programu za bure za kuhariri picha, kutengeneza video za TikTok, na kurekebisha sauti kwa ubora wa juu.

Soma Zaidi
Habari za Tech
HABARI ZA TECH

Mabadiliko ya Teknolojia na Mitandao Tanzania Wiki Hii

Fuatilia habari za hivi punde kuhusu upanuzi wa mtandao wa 5G, sheria za kidijitali, na ubunifu mpya wa kiteknolojia nchini.

Soma Zaidi
iOS 27 Beta 4
๐ŸŽ APPLE

iOS 27 Beta 4 Imetoka: Siri Mpya na TV App

Apple imetoa Beta mpya. Jua mabadiliko ya Siri AI, Automatic Downloads kwenye TV App, na jinsi ya kusakinisha Public Beta 2.

Soma Zaidi โ†’

Kuhusu Santech

Santech ilianzishwa na Saad Ally Nassor ikiwa na lengo kuu la kuondoa kikwazo cha lugha kinachowazuia Watanzania wengi kunufaika na maendeleo ya ulimwengu wa kidijitali.

Tunaamini kuwa teknolojia na fursa za mtandaoni (AI, Crypto, Freelancing) zinapaswa kufikiwa na kila mtu kwa lugha rahisi ya Kiswahili. Kila siku tunajikita kukupa habari za kuaminika na mafunzo ya vitendo.

Team Santech

Jiunge na Jarida Letu la Teknolojia

Pata makala mpya, mbinu za siri za AI, na fursa za pesa mtandaoni moja kwa moja kwenye email yako kila wiki bure kabisa.