← Rudi Nyumbani
💼 MWONGOZO WA KAZI

Freelancing Tanzania 2026: Anza Kupata $500 - $1000 kwa Mwezi

Freelancing Tanzania

Freelancing ni kufanya kazi mtandaoni kwa wateja wa nje ya nchi na kulipwa kwa Dola. Huhitaji ofisi, wala shahada. Unahitaji simu na skill 1 tu.

Huduma 5 za Kuanza Leo

1. Kuandika Makala 2. Graphic Design 3. Mhariri wa Video 4. Msaidizi Virtual 5. Mtafsiri