Kanusho

1. Taarifa za Elimu Tu

Yaliyomo yote kwenye Santech TZ ni kwa ajili ya elimu na taarifa tu. Sisi si wataalamu wa kifedha, sheria au uwekezaji.

2. Crypto na Uwekezaji

Uwekezaji wowote wa Crypto, Bitcoin, USDT una hatari. Bei inaweza kupanda na kushuka. Fanya utafiti wako mwenyewe kabla ya kuwekeza. Hatutawajibika kwa hasara yoyote.

3. Pesa Mtandaoni

Matokeo ya kupata pesa mtandaoni yanatofautiana kulingana na bidii yako. Hatutoi ahadi ya kipato chochote.

4. Viungo vya Nje

Tunaweza kuweka viungo vya tovuti nyingine. Hatuthibitishi na hatuwajibiki kwa yaliyomo kwenye tovuti hizo.