Kuhusu Santech TZ

Santech TZ ni blog ya Teknolojia, AI, Crypto na Fursa za Pesa Mtandaoni iliyoandikwa kwa Kiswahili rahisi kwa ajili ya Mtanzania.

Lengo Letu

Tulianzishwa 2024 na Saad Ally Nassor. Lengo letu ni kuvunja lugha ngumu ya teknolojia na kukupa hatua kwa hatua jinsi ya kutumia mtandao kubadilisha maisha yako ya kifedha.

Tunafundisha Nini?

Karibu ujiunge na jamii yetu. Pamoja tunaweza!